
R/ Meza ni tayari Tumealikwa sote Kwa karamu yake Bwana , Karamu takatifu (Tumealikwa) twende (Tumealikwa) twende Kwenye karamu ya Bwana 1. Chakula cha wakristu, Ni mwili na damu yake Bwana wetu Yesu Kristu. 2. Alaye n'akunywaye, Mwili na damu yake, Atapata uzima mpya. 3. Mwenye kumpokea Bwana maishani mwake, Ataishi milele. 4. Usifiwe Bwana Kwa chakula takatifu, Utupacho kila siku.