SISI NI TAIFA LA BWANA
Auteur : Marius Nshombo
Usage : Mission, Engagement, Psaume 99,

SISI NI TAIFA LA BWANA

R/ Sisi ni taifa lake Aleluya 
Yeye muchungaji wetu kweli 
Sisi ni taifa lake Aleluya 
Yeye muchungaji wetu kweli 
Aleluya

 1. Tukuzeni Bwana duniya nzima
Mumutumikiyeni katika shangwe 
Njoni kwake na nyimbo nyimbo za furaha 
Njoni kwake nazo nyimbo za furaha 

2. Kumbukeni kama yeye ni Mungu 
Ametuumba sisi ni watu wake 
Sisi ndilo taifa Taifa la Bwana 
Sisi ni taifa na zizi la Bwana 

3. Kweli Bwana wetu ni mwema sana 
Nao uwema wake ni wa milele 
Uaminifu wake wa myaka na myaka 
Uaminifu wake ni wa milele 

Partition

Télécharger la partition

Audio