Auteur :
Marius Nshombo
Usage :
Méditation, Mission, Engagement, Sacréments,
R/ Sisi ndiyo chunvi
(Sisi ndiyo chunvi) ya dunia
(Sisi) Sisi ndiyo taa
inayo angaziya dunia
(Sisi ni chumvi) Sisi ndiyo chumvi
_ Na nuru _ Nuru ya ulimwengu
1. Sisi ni moto
Sisi sasa ni moto
Moto aliyowasha Bwana
Na Joto tunayoleta
Ni Joto yake Roho wa Bwana
Tunapeleka (Moto)
Tunahubiri (Moto)
Twashuhudiya (Moto)
Tunafundisha (Moto)
Tuwashe kweli (Joto)
Na tugawanye (Joto)
Neno la Bwana (Joto)
Maisha yetu (Joto )
2. Kweli ni sisi
Chumvi, sisi ni chumvi
(Sisi njo) Tutiye onjo duniani
Na onjo tunayoleta
Iwe utamu hapa dunia
Maneno yetu (Tamu)
Matendo yetu (Tamu)
Mwenendo wetu (Tamu)
Maisha ni ma (Tamu)
Tuipeleke (Raha)
Dunia kuwe (Raha)
Rafiki zetu (Raha)
Jamaa zetu (Raha)
3. Na tuwe basi
Taa inayoweza
(Inayo) Ondowa giza duniani
Mwangaza tunayoleta
Ifike mpaka ndani ya roho
Tusiizime Taa
Moyoni kuwe Taa
Watu wawe na Taa
Kwao wanyonge Taa
Tutembeleye Mwanga
Tushangiliye Mwanga
Tupatiyane Mwanga
Tuishi kwenye Mwanga