R/ Tuingiye wote na furaha Nyumbani mwake Bwana Mungu Tumwimbiye Mungu na tumsifu Bwana Mwokozi wetu 1. E Bwana Sisi wanao Tunakuja nyumbani mwako 2. Tunakuja kwako e Bwana Kutafura neema yako