Huyu ni nani anayekuja
Mzuri kama mwezi
Mwangavu kama jua
Ni kwa furaha moyoni mwangu
Nitamsifu Mungu wangu
Amenitembeleya
Japo mimi mdogo
Amenitembeleya
Japo mimi mdogo
Tangu leo vizazi vyote
Wataniita mimi mwenyi heri.
Magnificat Magnificat
Magnificat Asifiwe Mungu
Magnificat Magnificat
Asifiwe Mungu
Wema wa Bwana umetangazwa
duniani kwote
na nyakati zote
Amewashusha wakubwa chini
Amewapandisha walio wadogo
Nao wenyi njaa
wamepewa mali
na watu weyi mali
wamerudi bila kitu
Jina lake Bwana lisifiwe
Nitamsifu Mungu milele na milele
Magnificat Magnificat
Magnificat Asifiwe Mungu
Magnificat Magnificat
Asifiwe Mungu