NYOSHA MKONO WAKO
Auteur : Bernard Kasereka
Usage : Mission, Engagement,

NYOSHA MKONO WAKO

R/ Nyosha mkono wako Bwana 
juu yawatumishi wako hawa,
Uwape neema wawe 
mashaidi wako

1. Tunapo omba Roho Mtakatifu 
Bwana utusikilize 
Tume pewa kwa Imani yetu 
Baba Mungu asante.

2. Tunapo omba Roho wa hekima 
Bwana utusikilize 
Tume pewa kwa Imani yetu 
Baba Mungu asante.

3. Tunapo omba Roho wa mapendo 
Bwana utusikilize 
Tume pewa kwa Imani yetu 
Baba Mungu asante.

4. Tunapo omba Roho wa furaha 
Bwana utusikilize 
Tume pewa kwa Imani yetu 
Baba Mungu asante.

5. Tunapo omba Roho wa mwangaza 
Bwana utusikilize 
Tume pewa kwa Imani yetu 
Baba Mungu asante.

Partition

Télécharger la partition