
R/ Leo Bwana najitolea kwako Nitakuwa wako siku zote Utakuwa wangu siku zote Nitakuwa wako siku zote Sitakuacha kamwe Mungu wangu 1. Najitolea kwa kazi zako Nitahubiri wale wasio amini Uniasidie niweze hiyo ahadi E Bwana 2. Nilipotakajitolea kwako Niliona woga nikasita rohoni Unisaidie wewe ndiwe nguzo yangu E Bwana 3. nitakapokuwa vishawishini Na nitakapotembea kama gizani Unisaidie nione mwnagaza wako E Bwana 4. Popote nikikutafuta wewe Kwani ndiwe mkubwa juu ya mataifa Unisaidie niwe mtu mnyenyekevu E Bwana