Auteur :
Mukulima, Motema
Usage :
Mission, Engagement, Esprit-Saint,
1. Roho Mtakatifu
Iwashukie kama
Radi ya uwingu
R/ Ishuke, ishuke, ishuke
(Shuka shuka
Roho wa Bwana shuka)
Tujazwe furaha
2. Hekima ya Bwana
Iwashukie kama
Nvua ya uwingu
3. Elimu ya Bwana
Iwashukie kama
Umeme wa uwingu
4. akili ya Bwana
Iwashukie kama
Mwanga wa uwingu
5. Ibada ya Bwana
Iwashukie, Mumwanguke
Bwana Mungu
6. Uchaji wa Bwana
Uwafike kwa kuepuka
Zambi zote
7. Hodari ya Bwana
Iwakfike kwa kutangaza
Neno lake
8. Yesu yupo wapi
Kule mbinguni
Alipotuma yule Rooho
9. Tufanye bidii
Kumutafuta yule Roho
Wa Mwokozi