ROHO WA BWANA
Auteur : Marius Nshombo
Usage : Sacréments,

ROHO WA BWANA

R/ Roho wa Bwana ni juu yangu
Roho wa Bwana amenipa uwezo
Roho wa Bwana amenituma 
Nipeleleze amani na furaha 

1. Nimeteuliwa kupeleka Enjili 
(Kupeleka Enjili)
Kwa kazi hiyo nzuri Bwana yupo napi
(Bwana yupo napi)
Nao wafungwa walio gerezani
Matumaini wasipoteze
Katika Bwana, uhuru ni wa milele

2. Nitembeleye walio hospitalini 
(Watu hospitini)
Kwa kazi hilo neema zake zipo nami 
(Neema zipo nami)
Na watu wote wanaoteswa sana
Machozi hayo yatakushwa
Katika Bwana furaha ni ya milele

3. Niwaomboleze waliojeuriwa 
(Waliojeuriwa)
Kwa kazi hilo roho wa bwana yupo nami 
(Bwana yupo nami)
Na wakimbizi wanaotangatanga
Huzuni yote watasahau
Katika Bwana amani ni ya milele.

Partition

Télécharger la partition

Audio