1. Tumusalimu mama yetu
(Ave)
Ave Maria Mama (E Mama)
Kila siku tusisahau (Ave)
Ave Ave Maria Mama
R/ Ave, Ave, Ave Maria Mama
2. Mama wa Yesu
ni mama wa wakristu
Eva mupya mama wa dunia yote
(Mama wa dunia yote)
Mama wake Yesu ni mama wetu
(Maria ni mama wetu)
Mama wa wakristu na dunia yote
(Maria mama wa dunia yote)
R/ Ave, Ave, Ave Maria Mama
3. Mama tunapofika kwako
(twasema)
Ave Maria Mama (Ni wewe)
Uzipeleke shida zetu (kwa Yesu)
Ave Ave Maria Mama
R/ Ave, Ave, Ave Maria Mama
4. Mama wa huruma,
mama wa rehema
Mama muzuri tena musikilivu
(Mama wa usikilivu)
Unayefikisha maombi yetu
(E mama, maombi yetu)
Tukipita kwako Yesu anajibu
(Tunapoomba Yesu anajibu)
R/ Ave, Ave, Ave Maria Mama