SISI NI MWILI MOJA
Auteur : Moïse Cifende
Usage : Eucharistie,

SISI NI MWILI MOJA

R/ Sisi ni mwili moja 
Kwa maana tunashiriki 
Mkate wa mbingu 
Mwili wake Kristo 

1. 
Kristo mfalme atulinde vema
Ili sisi tunaoshiriki 
katika mwili wake
Tusiwe chanzo 
cha misiba na mateso 
Kwa ndugu na dada zetu.

2. 
E Mwokozi, tujaliye ngufu
Kila siku Tunapowakuta 
wanyonge na wadogo
Waone kama sisi 
tuko naye kristu
Na hapo tutawavuta

3. 
Kristu mfalme atulinde sisi
Tuepuke zulumu
Tukilinda mali ya shirika
Tuwe waunganishi 
na waombolezi
Wa shirika lake Kristu

4. 
Kwako Kristu tupate hekima
Nyoyo zetu zijae kuepuka
Rushwa, uporaji
Popote tuendapo 
sisi tuwe mfano
Kwa ndugu na dada zetu

Partition

Télécharger la partition

Audio