
1. Ya lazima kwa wewe mwanadamu Si mali uliyo nayo Ya lazima ni katika roho, Roho ya mapendo R/ Hii ndiyo amri kubwa Yesu alituachiya Umupende jirani Kama wajipenda mwenyewe 2. Hata nikisema, sema kwa luga Bila mapendo ni bure Hata nielewe elimu zote Bila mapendo ni bure Imani yangu ikiwa kubwa Bila mapendo ni bure Hata nikiwapa maskini mali Bila mapendo ni bure Hata nikitowa mwili kwa moto Bila mapendo ni bure 3. (Mélodie du 1er couplet) Ukitaka kuwa rafiki yangu Ndivyo Yesu alisema Umupende kwanza jirani yako Kwa mapendo makubwa 4. (Mélodie du 2ème couplet) Mapendo ya kweli ya vumilia Mapendo ni ya milele Hayajivu_ni, hayajisifu Mapendo ni ya milele Hayana wi_vu, yana adabu Mapendo ni ya milele Haya hesa_bu hata mabaya Mapendo ni ya milele