
1. Zaeni matunda mema, Zaeni matunda yale , Zaeni yenye baraka, Zaeni ya heri R) Bwana akiyapokea, Yatabarikiwa vema, Zaeni matunda mema aaa Zaeni ya heri 2. Safisha mwenendo wako, Safisha matendo yako, Safisha na bwana yesu, Safisha yote 3. Fanyeni kazi kindugu, Fanyeni kazi kamili, Fanyeni na bwana yesu, Fanyeni yote