
Maria mama Maria, Mama Maria uuuh Maria 1. Ni nyota ya mashariki Bikira asiye na zambi Ni mama wa mukombozi Maria R/ Mama wa upendo Mama wa Mungu Mama wa huruma Mama wa Yesu Tuombee mama Maria 2. Ni mama mfariji wetu Ni mama msaada wetu Ni mama mwombezi wetu Maria 3. Tulizo wa nafsi zetu Mwombezi na mama yetu Sikiya maombi yetu Maria