Auteur :
Serge Mawese
Usage :
Carême, Rameaux, Vendredi Saint,
R/ Eloi eh Eloi eh Eloi eh …
Mungu wangu kwanini umeniacha
1. Kila ninacho fanya mimi
yaonekana mabaya mbele ya watu
(Naomba msaada wako Bwana
Nipate kuyashinda)
2. Wanionao wanicheka
Nakunitusi mungu wake amwokawe
(Naomba msaada wako Bwana
Nipate kuyashinda)
3. Wanagawanya wazi langu
Wanapigia kanzu yangu kura
(Naomba msaada wako Bwana
Nipate kuyashinda)
4. Giza ni mbele yangu mimi
Sione njia yakupita ee Bwana
(Naomba msaada wako Bwana
Nipate kuyashinda)