
R/ Mimi huyu unitume Bwana Niyatimize mapenzi yako 1.Kutumainiya sana Namtumainiya Bwana Ananielekeya mimi Asikiya mliyo wangu Anaweka wimbo mupya Wimbo mpya kinywani mwangu Sifa zake Mungu wetu 2.Haukupenda sadaka wala nayo matoleo Wewe umeyazibuwa Masikiyo yangu mimi Haukuomba sadaka Ya kuteketeza mutu Nasema mimi nakuja 3.Kitabuni kwaandikwa Unavyopenda nitende Ni kwa moyo wangu wote Napenda sheriya yako Ona gisi natangaza Nasema upendo wako Na ukweli kwa shirika