USIKU KATI
Auteur : Marius Nshombo
Usage : Noël,

USIKU KATI

1. Saa ya usiku kati
Kulikuwa na kimya
Wachungaji wa kondoo
Walikuwa wamekesha
Malaika toka juu mbinguni
Walishuka wakiimba sifa za Mungu.

2. Wachunga msiogope
Mwende huko pangoni
Mutamkuta mtoto Yesu
Mungu mwana yupo nasi
Wachungaji wa kondoo usiku
Walikwenda kumwangaliya Bwana Yesu.

3. Tangu ma elfu myaka
Nabii waliaguwa
Sasa leo amefika
Twende wote tumwabudu
Na majusi toka kule mashariki
Walifika kumwabudu mwana wa Mungu.

CODA
Gloria gloria
in excelsis Deo

Partition

Télécharger la partition

Audio