ROHO MTAKATIFU MUNGU
Auteur : Populaire
Usage : Mission, Sacréments,

ROHO MTAKATIFU MUNGU

R. Roho Mtakatifu Mungu, 
Utupe mwanga wako wa mapendo, 
Tupendane wote 

1. Tangu mwanzo pale, 
hapa duniani, niliomba wote 
muwe na mapendo 
Mukiisha pendana, 
enyi waana wangu, 
na maombi yenu 
nitayapokea 

2. Ee Baba yetu, 
muumba wa mbingu 
na wa vitu vyote vya duniani 

Peke yetu sisi 
hatutaweza kwa kuzitimiza 
amri hizo 

Ila mwanga wako 
uwe ndani yetu.
 Ndiyo, tupendane ; 
mapendo mema. 

3. Enyi waana wangu 
wa dunia 
mukumbuke Yesu aliyeteswa 
Pale msalabani 
kwa ajili yenu ; 
hivyo mtulizeni 
kwa mapendo mema.

Partition

Télécharger la partition